Bill Cosby amekosea wapi?

Bill Cosby amekosea wapi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kama ilivyoripotiwa hivi karibuni kuhusu Msanii wa Marekani, Bill Cosby, amekumbwa na kashfa nyingi sana za ubakaji zilizoibuliwa hivi sasa, wengi waliobakwa wanasema walifanyiwa hivyo miaka mingi iliyopita lakini kila kitu kimekuja kuibuliwa sasa hivi, tayari Bill Cosby ameshanyang'anywa/ vuliwa nishani nyingi alizopewa kwa umahiri wake, na wengine wanamtaka hata rais Obama pia amvue nishani kubwa zaidi, sasa ni kwa nini?

Na kwa nini sasa hivi? Hao wanawake waliobakwa miaka 20 mpaka 30 iliyopita walikuwa wapi siku zote hizo?

Binafsi, naamini kabisa hapa lazima kuna kitu huyu Bw.Cosby kakosea mahali, siyo bure lazima kuna kitu!
 
Yaani mtu aligongwa ngozi miaka20 -30 iliyopita, anakuja kukisanua leo. Sasa ushahidi wake unapatikana vipi hapo? Hawa watu wa majuu nao waache utata usiokuwa na maana.
 
Namounea huruma sana kwani muendesha mashtaka ya kesi yake ni mama mmoja nadhan anaitwa Gloria ....Na kama ujuavyo upo na kesi ya kuwadhalilisha wanawake na anaekuhukumu ni mwanamke...
 
He broke law no 20 and 41 of illuminant by attaching the wrong person and trying to step into the shoes of Wrong person DONALD TRUMP.Donald is a billionaire associated with powerful Jews community in the world.
 
muda wake wa kutolewa sadaka umekaribia...ukishasign pact na devil kuna muda wa kuchuma na kuchumwa
 
He broke law no 20 and 41 of illuminant by attaching the wrong person and trying to step into the shoes of Wrong person DONALD TRUMP.Donald is a billionaire associated with powerful Jews community in the world.

Naomba ufafanuzi kidogo niongeze uelewa.....!!!!
 
Namounea huruma sana kwani muendesha mashtaka ya kesi yake ni mama mmoja nadhan anaitwa Gloria ....Na kama ujuavyo upo na kesi ya kuwadhalilisha wanawake na anaekuhukumu ni mwanamke...

Bill Cosby kashtakiwa lini?
 
Watz wanatia aibu kwa kushirikisha kila kitu na conspiracy theories.

Mtu kabaka wanawake unatakwa aachwe! Hakuna cha wayahudi wala nini ila sheria inabidi ichukue mkondo wake. Kosa Ni kosa aidha limefanyika Jana au Leo

Kwa mantiki yako lowassa au escrow au epa Ni wasafi sababu hawajaiba leo

Umeona Cosby alichosema mwaka 2005 mahakamani kuhusu matamuzi ya quaaludes kubaka wanawake. Usikurupuke tu
 
Bill Cosby anachukiwa kwa haya:
1.) He refused to aide Malcolm X and MLK when they asked to use his platform as a comedian to aide the movement, he didn't want to taint his career.
2.) He stole the teaching of Malcolm X and MLK to produce a video series after their murders but did NOT credit either of them in the video's
3) He Idolized W.E.B Dubois and blamed poor black people for all of society's problems labeling them all as THUGS, THIEVES, Baby Mama's etc on numerous occasions
4) He's spoken out in DEFENSE of white police departments that Kill young black people.
5) He blamed Black men and black boys for mass incarceration
6) He said that now days most black people can't speak English or read a book.
7.) He was a bourgeoisie black man that demonized other blacks
that weren't as wealthy as him in the SAME manner as FOX NEWS.
8.) He said that MOST black men are not fit to be fathers
9.) While he's spoken out against black on black crime MANY times He has NOT spoken out in defense of any BLACK victims killed by cops or through white supremacy.
 
Ahsante kwa summary nzuri...binafsi nilikuwa shabiki kijuu-juu wa Cosby, sikuwahi jua haya!
 
wengine wanawajukuu sahizi!" ...........
 
Back
Top Bottom