Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili

Bill Gates aliyekuwa tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa Melinda Gates walitalikiana miaka miwili uliyopitia. Mke alivuna karibu nusu ya utajiri wa Bill

Kwa sasa akihojiwa na vyombo vya habari amedai mtalaka wake huyo anahangaika kutumia marafiki wa karibu wa Bill ili amsamehe, kwamba hana amani ya moyo

Kisa hicho kimetokea baada ya mwanaume aliyemrubuni Melinda kumwacha kuanzia Mei mwaka huu, hivyo kabaki hana pa kuushika,

Melinda alidai atakuwa na furaha kitu ambacho kimekuwa kugeuka kwani jamaa anaendelea na mambo yake, TMZ wameripoti habari hiyo na kuifuta haraka sana lakini Bill mwenyewe aliongea na watu mbalimbali na kuthibitisha hilo

Tuzidi kujifunza juu ya hawa Wanawake hawajielewi kabisa wanataka nini na hawataki nini
 
Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili,
Billgates aliyekua tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa melinder gates walitarikiana miaka miwili uliyopitia,
Mke alivuna karibu nusu ya utajiri wa Bill,
Kwa sasa akihojiwa na vyombo vya habari amesema mtalaka wake huyo anahangaika kutumia marafiki wa karibu wa Bill ili amsamehe, kwamba Hana amani ya moyo,
Kisa hicho kimetokea baada ya mwanaume aliyemrubuni melinder kumwacha kuanzia may mwaka huu , hivo kabaki Hana pa kuushika,
Melinder alidai atakua na furaha kitu ambacho kimekua kugeuka kwani jamaa anaendelea na mambo yake,
TMZ wameripoti habari hiyo na kuifuta haraka Sana lakini Bill mwenyewe aliongea na watu mbalimbali na kuthibitisha hilo,
Tuzidi kujifunza juu ya hawa wanawake hawajielewi kabisa wanataka nini na hawataki nini
Je, Huyo Mwanamke alisahau Nini kwa Bill Gate hadi atake warudiane tena?

"The worse prison in the world is a home without peace, be very careful of whom you choose to be married or fall in love with."

Johnny Depp
 
Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili,
Billgates aliyekua tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa melinder gates walitarikiana miaka miwili uliyopitia,
Mke alivuna karibu nusu ya utajiri wa Bill,
Kwa sasa akihojiwa na vyombo vya habari amesema mtalaka wake huyo anahangaika kutumia marafiki wa karibu wa Bill ili amsamehe, kwamba Hana amani ya moyo,
Kisa hicho kimetokea baada ya mwanaume aliyemrubuni melinder kumwacha kuanzia may mwaka huu , hivo kabaki Hana pa kuushika,
Melinder alidai atakua na furaha kitu ambacho kimekua kugeuka kwani jamaa anaendelea na mambo yake,
TMZ wameripoti habari hiyo na kuifuta haraka Sana lakini Bill mwenyewe aliongea na watu mbalimbali na kuthibitisha hilo,
Tuzidi kujifunza juu ya hawa wanawake hawajielewi kabisa wanataka nini na hawataki nini
Sharti la kurudiana anatakiwa arudi akiwa na ile sehemu ya utajiri aliyopewa kama mgawo
 
Back
Top Bottom