Mwanaume hupaswi kuteseka na mwanamke hata kama ni mkeo. Tukilijua hili, halafu wanawake wazinifu tukawachukulia kama malaya, na tukawaambia bila woga kuwa wanafanya umalaya, jamii itakuwa sehemu tulivu mno. Yaani mke wa mtu kakupa unachukua ila huachi kumshauri aache umalaya bila kumung'unya maneno.
ASANTE, NIMEINJOY ILA WEWE NI MALAYA SABABU UNA MUME.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.