Bill gates ala wali maharage

Bill gates ala wali maharage

Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
d53cf18d8441c01e86c4661618501fc4.jpg
2c3a10f414811c6f800d6c4f93ce65f4.jpg


Mungu Ni Mwema
Why billgate has zero security although he is top rich?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes intervene for funny [emoji14][emoji14][emoji126][emoji126]
 
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
d53cf18d8441c01e86c4661618501fc4.jpg
2c3a10f414811c6f800d6c4f93ce65f4.jpg


Mungu Ni Mwema

Tofuti hipo tena kunwa sana
Yeye kala kuonyesha Support
Yeye kala kuonyesha Dunia anajitoa na yupo sawa na wengine
Yeye kala labda kwa sababu anataka kujaribu chakula kipya

Wewe unakula kwa dhiki, Shida, Kutojiweza nk
 
Wazungu wanalima mpunga na maharage hivyo ni moja ya chakula chao hivyo Bill Gates kula wali maharage sio habari.
 
Kama alikula huo wali kweli, basi litakuwa fundisho zuri. Hata hivyo Nina Mashaka kama aliweka mdomoni hata kijiko kimoja cha wali THEN akatafuna na kumeza (nipo tayari kukosolewa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa je!jamaa katengeneza maji ya mavi na anakunywa iweje ashindwe wali maharage
 
Back
Top Bottom