Why billgate has zero security although he is top rich?Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
Mungu Ni Mwema
Anacho cha kuvalia shati
Acha uvivu mkuu, tumia simu/computer hiyo.
Wapi hukoAlishakunywa hadi maji ya mavi, sishangai hii.
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
Mungu Ni Mwema
Acha uvivu, tumia simu/computer hiyo.Wapi huko
Weka link hapaAcha uvivu, tumia simu/computer hiyo.
Wew ndo unasema,mana ulitaman iwe hivyo ili akuoe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapa nilipo nashindwa nikujibu nini kukutukana naona tabu make si kawaida yangu mwanaume mzima kunambia ntaolewa da poa bana ubalikiwe[emoji24]Wew ndo unasema,mana ulitaman iwe hivyo ili akuoe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
thA God thA bubbs!!