BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Hiiii si jambo la kufurahia.
Inaonyesha africa watu bado wako nyuma sana
Inaonyesha africa watu bado wako nyuma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua maana ya bilionea namba 1 au 2 wa dunia?sio mchezo.Una uhakika gani hawamjui? Kabla ya kwenda hapo si watakuwa wameambiwa kuna ugeni wa fulani?
Wa kwangu ana miaka 6 na anamuelezea vizuri Richard Brandson mpaka na space shuttle yake, ndio watakuwa hao watoto waliokaa na Bill Gates?
Umasikini ulionao kwenye akili yako ni angamizo la familia yako na nchi kwa ujumla
Utawala uliopo have nothing to do with Gate's tour.Wanapishana tu watu wazito nchini, hii ni kuonyesha utawala uliopo ni wa kiungu
Sent using Jamii Forums mobile app
in Tanzanian currency.Kwa kweli Tanzania ni kimbilio la neema Bill Gates amemwaga billions 780
USDin Tanzanian currency.
be specific
"if wishes were horses..."
Safi sana.Let's put some thing right.
Naona ndugu mnachangia mada kama hizi kisiasa.
Kuna jambo la kujifunza hapa.
Huyu jamaa Ambaye kwa mujibu wa Forbes ni Tajiri mkubwa Duniani hajafika Tanzania kutalii au kufanya Matanuzi, but to help the poor..
Ni mtu mwenye Mafanikio tayari hivyo huenda kuna kitu anatafuta kutimiza safari na malengo yake ya Maisha.
Huenda ikawa ni Recognition, au Vinginevyo kwa kusaidia maskini kama Tanzania.
Pamoja na Kufurahia kupata bahati kutembelewa na Bill Gates,
Tunatakiwa tukumbuke kuwa nchi yetu ni Maskini ndio maana Bill gates amechagua kuitembelea..
Sent using Jamii Forums mobile app
Its almost the same as Angeline Jolie's tour to Kenya Last few weeks.Safi sana.
Mkuu kwani kuna uhusiano gani kati ya Jubilee na Bavicha? Mbona ushindi wa Kenyatta umekuwa gumzo ufipaniIna uhusiano gani na Bavicha?, kumbe saa zingine na wewe dish huwa linacheza enhee, yaani hii habari haina uhusiano wowote na mambo ya siasa
Mkuu kwani kuna uhusiano gani kati ya Jubilee na Bavicha? Mbona ushindi wa Kenyatta umekuwa gumzo ufipani
Sent using Jamii Forums mobile app
Another small minded idiot.Habari hii kwa vijana wa ufipa ni kama mkuki moyoni, yaani roho inawauma haijawahi tokea. Hahaha