Bill Gates joins Instagram in Tanzania

Baada ya kukaribishwa Magogoni kumsalimia mfalme kutoka Chato naona roho yake imesuuzika. Watu kama hawa icho ndo kitu wanachotafuta. Recognition n reputation kwa kuwa kila kitu wanacho tayari.
 
Wanapishana tu watu wazito nchini, hii ni kuonyesha utawala uliopo ni wa kiungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala uliopo have nothing to do with Gate's tour.
Huwa kidogo natofautiana na watu mnaopenda kushabikia kila jambo kisiasa.
Hakuna Chama wala serikali ndani ya nchi hii vimefanya lolote kufanya bill gates aje Tz.
Au labda uniambie Serikali yetu chini ya CCM ndio imefanya nchi hii kuwa maskini wa kutupwa hadi leo ndio maana kina bill gates wanakuja kutoa misaada.
 
Let's put some thing right.
Naona ndugu mnachangia mada kama hizi kisiasa.
Kuna jambo la kujifunza hapa.
Huyu jamaa Ambaye kwa mujibu wa Forbes ni Tajiri mkubwa Duniani hajafika Tanzania kutalii au kufanya Matanuzi, but to help the poor..
Ni mtu mwenye Mafanikio tayari hivyo huenda kuna kitu anatafuta kutimiza safari na malengo yake ya Maisha.
Huenda ikawa ni Recognition, au Vinginevyo kwa kusaidia maskini kama Tanzania.
Pamoja na Kufurahia kupata bahati kutembelewa na Bill Gates,
Tunatakiwa tukumbuke kuwa nchi yetu ni Maskini ndio maana Bill gates amechagua kuitembelea..




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana.
 
Habari hii kwa vijana wa ufipa ni kama mkuki moyoni, yaani roho inawauma haijawahi tokea. Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…