Bill Gates joins Instagram in Tanzania

Uongozi bora na mfumo bora chini ya serikali ya CCM pamoja Na Raisi wetu JPM unasababisha watu kama hawa kuvutiwa kufika hapa nchini kwetu. Kama unajua lugha ya malkia vizuri soma hiyo post yake hapo juu. Utaona anapongeza juhud zinazofanywa na nchi. Nchi ndo serkali, na serkali ni ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa humu anatumia ID ya bill gate sasa akitaka kujiunga na humu sijui itakuwaje

_ where ever you are remember me_
 
Its almost the same as Angeline Jolie's tour to Kenya Last few weeks.
Nope. You got it all wrong.
June 2Oth is World Refugees Day. As an Envoy for UNHRC, Angelina Jolie came to Kenya to sensitize on peace especially on women. We have close to 500,000 refugees living in Kenya remember. They mostly come from Somalia, S. Sudan, Ethiopia.
Good job Bill Gates.
 
Kasema atazidi kumwaga pesa nyingi zaidi nchini. Bill Gates nilazima tutambue amesha kuja nchini mala nyigi sana. Pia amewahi kuja kutalii na mke wake. The good news alizo nazo kuhusu TZ nikuwa awamu ya Magufuli imekuwa ikipambana na rushwa. Hiyo ndo maana ameichagua TZ kwani pesa yake hataki ipotee. VIVA TZ
 
Kwa kweli Tanzania ni kimbilio la neema Bill Gates amemwaga billions 780
Sijui na hizi zitapigwa kama rambi rambi duh ninamawazo kweli maana watakaopewa fungu siwaamini kabisa yaani sijui nifanyeje?





[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jokingly
 
Tundu lisu ameshamfollow amuoneshe mkataba Wã MIGA
 
Hakika ni pigo kwa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…