Mark Zuckbereg - Facebook, Whatsapp, Instagram, n.k.
Bill Gates - Microsoft
Tayari walikuwa wametengeneza pesa, wana ufadhili wa mitaji...Wewe kijana unaetaka kuacha masomo kitu pekee unachomiliki kilaptop na simu unataka kuwaiga fikiria mara mbili, do your research.
Sio hivyo tu, hawa jamaa walikuwa ni ma genius wa computers hata kabla ya kuingia vyuoni, Tayari walikuwa na vision kubwa ya kulete vitu vikubwa, wewe hujawahi kumiliki hata Tin Namba unawaiga kina Bills, You are in for a f**king Surprise.