Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 26, 2018 #1 Wakuu vipi. Huyu dogo Rayvan alitoa Pochi Nene na watu wakaipenda. Sasa akasema atatoa Remix ambayo itakua na wasanii kibao. Kabla hajatoa official alikua ana release video footage fupi fupi za baadhi ya verse za hao wasanii Youtube na Instagram. Moja ya verse kali ilikua ya Bill Nas. Fupi ila ilikua nzuri. Kwenye verse alijisifu yeye ni Mafiyonso wanamuita mzee wa Ndole aka Juma Nyoso. Hiyo nadhani ni kutokana na ile video yake na Nandy. Sasa nashangaa wimbo official umetoka hii verse haipo. Sababu ni ipi au haikua na maadili verse yake? Naona flow zake zimezibwa na King Zilla.
Wakuu vipi. Huyu dogo Rayvan alitoa Pochi Nene na watu wakaipenda. Sasa akasema atatoa Remix ambayo itakua na wasanii kibao. Kabla hajatoa official alikua ana release video footage fupi fupi za baadhi ya verse za hao wasanii Youtube na Instagram. Moja ya verse kali ilikua ya Bill Nas. Fupi ila ilikua nzuri. Kwenye verse alijisifu yeye ni Mafiyonso wanamuita mzee wa Ndole aka Juma Nyoso. Hiyo nadhani ni kutokana na ile video yake na Nandy. Sasa nashangaa wimbo official umetoka hii verse haipo. Sababu ni ipi au haikua na maadili verse yake? Naona flow zake zimezibwa na King Zilla.
Mockingbird JF-Expert Member Joined Jan 11, 2018 Posts 434 Reaction score 1,043 May 26, 2018 #2 Kama uliangalia kipindi cha Refresh Wasafi Tv basi Van ray alieleza kisa chote kua bill nenga alisema itolewe hata maugomvi sijui na watu ganii, au mabo yajirudi... pachi mapenee
Kama uliangalia kipindi cha Refresh Wasafi Tv basi Van ray alieleza kisa chote kua bill nenga alisema itolewe hata maugomvi sijui na watu ganii, au mabo yajirudi... pachi mapenee
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 May 27, 2018 #3 Ahsante kwa taarifa. Binafsi nilijua kuwa Bill Nyoso ameomba verse ipigwe chini.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 May 27, 2018 #4 aliambiwa na ruge asiiskie hiyo verse
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 May 27, 2018 #5 kama umeshindwa kuuweka sasa posti hii ya kazi gani!
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 May 27, 2018 #6 Ile verse ni ya ki-K...
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 2,929 Reaction score 3,710 May 28, 2018 #7 siku hizi najihisi nimekua....ujinga ujinga kama huu naukuta,nausoma na kuuacha hapahapa JF.
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 May 28, 2018 #8 MLUGURU said: siku hizi najihisi nimekua....ujinga ujinga kama huu naukuta,nausoma na kuuacha hapahapa JF. Click to expand... Kwan zaman ulikuwa unaupeleka wapi?
MLUGURU said: siku hizi najihisi nimekua....ujinga ujinga kama huu naukuta,nausoma na kuuacha hapahapa JF. Click to expand... Kwan zaman ulikuwa unaupeleka wapi?
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 May 28, 2018 #9 sinza pazuri said: aliambiwa na ruge asiiskie hiyo verse Click to expand... Ndo maana yake
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 May 28, 2018 #10 "billnas billnas mafioso, niite mzee wa ndole aka juma nyoso", huu mstari ndio umemponza labda amemuogopa BOSS shemeji, hatompa airtime.
"billnas billnas mafioso, niite mzee wa ndole aka juma nyoso", huu mstari ndio umemponza labda amemuogopa BOSS shemeji, hatompa airtime.