Bill Nas vs Pochi Nene RMX

Bill Nas vs Pochi Nene RMX

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu vipi.
Huyu dogo Rayvan alitoa Pochi Nene na watu wakaipenda. Sasa akasema atatoa Remix ambayo itakua na wasanii kibao.

Kabla hajatoa official alikua ana release video footage fupi fupi za baadhi ya verse za hao wasanii Youtube na Instagram.

Moja ya verse kali ilikua ya Bill Nas. Fupi ila ilikua nzuri. Kwenye verse alijisifu yeye ni Mafiyonso wanamuita mzee wa Ndole aka Juma Nyoso.

Hiyo nadhani ni kutokana na ile video yake na Nandy.

Sasa nashangaa wimbo official umetoka hii verse haipo. Sababu ni ipi au haikua na maadili verse yake?

Naona flow zake zimezibwa na King Zilla.
 
Kama uliangalia kipindi cha Refresh Wasafi Tv basi Van ray alieleza kisa chote kua bill nenga alisema itolewe hata maugomvi sijui na watu ganii, au mabo yajirudi...

pachi mapenee
 
siku hizi najihisi nimekua....ujinga ujinga kama huu naukuta,nausoma na kuuacha hapahapa JF.
 
"billnas billnas mafioso, niite mzee wa ndole aka juma nyoso", huu mstari ndio umemponza labda amemuogopa BOSS shemeji, hatompa airtime.
 
Back
Top Bottom