Bill Nass anajitahidi katika tasnia ya muziki

Hamna kitu kabisa, hawezi kulipa zile punch line za Young Killer. Mi nakataa hii sio Hip Hop
Aliyekwambia punchlines nyingi ndio hiphop nani? Hata hivyo hii thread haizungumzii hiphop, inazungumzia wimbo mpya wa Billnass
 
Aliyekwambia punchlines nyingi ndio hiphop nani? Hata hivyo hii thread haizungumzii hiphop, inazungumzia wimbo mpya wa Billnass

Ndio Maana nimekwambia hamna kitu humo. Young Killer kaharibu Mbaya mabrazameni Ile ngoma imewatouch, ona sasa!
 
Iko wazi, naua vichwa panzi

Wakifa tunazika ila hatuziki mguu ukifa ganzi

Na dawa ikiingia vizuri, basi naongeza dozi/

Sijali cha pozi zuri, wala cha chafu pozi/

NAHISI DAWA IMEINGIA ACHA AONGEZWE DOZI

Mi mwenyewe cnaga swaga Kabisa[emoji18]
 
Ndio Maana nimekwambia hamna kitu humo. Young Killer kaharibu Mbaya mabrazameni Ile ngoma imewatouch, ona sasa!
Sawa anyway tuache blah blah, tuzipe ngoma hizo wiki 2 halafu tuje tupeane mrejesho upi umeshika zaidi kitaa
 
Wimbo wa kawaida sana hamna punchline za kunifanya nisikilize tena na tena... then mfupi

au ndio kusifiwa mbio kapita hadi kwao[emoji18]
 
Wimbo wa kawaida sana hamna punchline za kunifanya nisikilize tena na tena... then mfupi

au ndio kusifiwa mbio kapita hadi kwao[emoji18]

Ha ha ha! Chekibob kapanic huyu. Young Killer sio mtu mzuri aisee!
 
huu wimbo ni mchache sana,haujai hata kwenye kikombe cha chai.......usanii wa kuiga mbio zake huwa ni fupi km maisha ya inzi...
 
bilnass bilnas
huyu jamaa anajua kukamatia... akilizangu na miziki yake....

kujua Sana ndio kuharibiana CV...
usinizoee Sana Kama huna hata planB...

kila MTU afe kivyake ndio maisha ya mjini...
kuzoea zoea Sana utazoea majini
....
hatutaki mazoeaaaa
tusizoeane kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…