Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MNYAMA KAMA CHEETAHHuo alimshirikisha tid ndo naukubari dunia nzima unitwa ligi ndogo.
Touch touch mnyama kama t.touch...
Aliyekwambia punchlines nyingi ndio hiphop nani? Hata hivyo hii thread haizungumzii hiphop, inazungumzia wimbo mpya wa Billnass
Hip-hop anaimba ngosha mkuu!Hamna kitu kabisa, hawezi kulipa zile punch line za Young Killer. Mi nakataa hii sio Hip Hop
Wimbo wa kawaida sana hamna punchline za kunifanya nisikilize tena na tena... then mfupi
au ndio kusifiwa mbio kapita hadi kwao[emoji18]
Ha ha ha! Chekibob kapanic huyu. Young Killer sio mtu mzuri aisee!
Duuuuu unataka kusema kuwa MwanaFA hana nyota ya kukubalika?!Ni mzuri sema aliyemshirikisha hanaga nyota yakukubalika japo anafanyaga.vitu.vikali
Sema raia sahivi hawamfeel sana tangia amejiingiza kwenye lile bifu la Jide na Ruge