asante sana mkuuKuna mfumo unaitwa biliary system unaowezesha nyongo (bile) inayotengenezwa mwilini kwenda kuondolewa kwa njia ya choo na mkojo, sasa inapotokea mirija ya huu mfumo umeziba ndio hiyo wanaita biliary obstruction sasa hiyo husababisha nyongo kuchanganyikana na damu na kukuletea manjano.
Visababishi vinaweza kuwa vivimbe kwenye mfumo(tumors) ,mawe (gall stones) kuziba njia na nyingine ni sababu za kuzaliwa nazo
Ndo hivo kwa ufupi