Wapo wengi tu WASIOPENDA show off tokana na kurundikiwa shida tele za kutoa misaada, so wanaishi kimya kimya.Mabilionea wanaongezeka town, zamani tulikuwa nao watatu, Mengi, Bakhresa na Lemutuz.
Mbona huyu shilla ni bilionea wa muda mrefu tu au umemjua leoMabilionea wanaongezeka town, zamani tulikuwa nao watatu, Mengi, Bakhresa na Lemutuz.
Kumbe Shillah ni billionaire eeeh?Mbona huyu shilla ni bilionea wa muda mrefu tu au umemjua leo