Billionaire Shillah amzawadia pisi kali gari aina ya Crown

Billionaire Shillah amzawadia pisi kali gari aina ya Crown

Picha ya Pisi kali kwanza
Hawa Happ mmoja Ni rfk anguView attachment 2228002View attachment 2228003
Screenshot_20220516-133531.jpg
 
Mbona huyu shilla ni bilionea wa muda mrefu tu au umemjua leo


Huyo Muha alichelewa kuja town na mabilioni yake. Lakini hawa mabolionea wengine wakina Lemutuz walikuwepo tangu enzi za Mkapa.
 
SLAVE TRADERS-ex-pastor dan barker anawaitaa,wanafanya biashara,ofcourse religion is big business,watu,wanavuna mipesa/mijihela....jambo moja kubwa wanatumia matatizo ya watu ya kiuchumi,kifamilia,kisaikolojia na n.k kujipatia pesa na umaurufu:kwa sabubu ushamezwa na hofu ya dini na imani ,Ngumu kwa wengi kuvuka huu mtego!! Dedcat song:nothing fell like prayer!
 
Nabii huyu Ni Nani ?pesa anazipataje yey ni kweli ni tapeli Kama wanavyosema watu kuwa tapeli au Ni kijan mchapa Kaz Basi tusema wivu tu kwa kuwa pia anaonekana na pisi Kali na kula Bata hapa jiji dsm

Kjn Ni mchapakaz kwani nimeona mirad Yake ya nguruwe na kuku hata tukisema sadaka anazitumia vibaya siyo kweli mbona Hana wahumini wengi wa kumsababisha yeye kuwa billionaire ?

Jana katoa crown mpya kwa pisi Kali fln hv na sasa HV Yuko Dubai nabii huyu Ni vip ? pia nasikia mam ake na Bab ake Ni maafisa wa ngaz za juu San katk jeshi la [emoji61]
Picha inahusu tafadhali
 
Au niwewe nini umekuja kujisifia huku we kama ni tapeli jiandae kumfuata jack pombe alipo
 
Kwahyo mtu cku hizi akienda dubai, akitoa zawad yagari au akifuga kuku na nguruwe ni billionaire?
Tanzania ina billionaire mmoja, 80 multimillionaires , 8 cent millionaires alafu HNWIs wapo 2400.. Huyu dan hayupo hata kwenye hawa watu 2488...usifanye mchezo na kuwa billionaire, hapa tunavyoongea CR7 mwenyewe sio billionare, duniani ma billionaire hawazid hata 3000.
 
Back
Top Bottom