Billionaire Shillah amzawadia pisi kali gari aina ya Crown

Mbona huyu shilla ni bilionea wa muda mrefu tu au umemjua leo


Huyo Muha alichelewa kuja town na mabilioni yake. Lakini hawa mabolionea wengine wakina Lemutuz walikuwepo tangu enzi za Mkapa.
 
SLAVE TRADERS-ex-pastor dan barker anawaitaa,wanafanya biashara,ofcourse religion is big business,watu,wanavuna mipesa/mijihela....jambo moja kubwa wanatumia matatizo ya watu ya kiuchumi,kifamilia,kisaikolojia na n.k kujipatia pesa na umaurufu:kwa sabubu ushamezwa na hofu ya dini na imani ,Ngumu kwa wengi kuvuka huu mtego!! Dedcat song:nothing fell like prayer!
 
Picha inahusu tafadhali
 
Au niwewe nini umekuja kujisifia huku we kama ni tapeli jiandae kumfuata jack pombe alipo
 
Kwahyo mtu cku hizi akienda dubai, akitoa zawad yagari au akifuga kuku na nguruwe ni billionaire?
Tanzania ina billionaire mmoja, 80 multimillionaires , 8 cent millionaires alafu HNWIs wapo 2400.. Huyu dan hayupo hata kwenye hawa watu 2488...usifanye mchezo na kuwa billionaire, hapa tunavyoongea CR7 mwenyewe sio billionare, duniani ma billionaire hawazid hata 3000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…