Billionaire Trump Cannot Post a $454 Million Bond!

Billionaire Trump Cannot Post a $454 Million Bond!

Takuwa wa mwisho kuamini Marekani kuna demokrasia.

Wale wenye vichwa vilivyojaa kamasi ndio huwa wanatolea mfano Marekani.

Pale pangekuwa na demokrasia hiyo inayosemwa basi ubaguzi wa rangi ingekuwa ni ngumu sana kuushuhudia.

Mara 100 uniambie France wale wanajitahidi katika hilo somo la demokrasia.
ni wajinga tu ndio wanaamini kuna demokrasia pale..... uhuni tu
 
Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm?
fungua macho na akili,..

walianza kwanza kumpa makesi mengine mengine, walipoona ametoboa wakaja na rulling ya kumwondoa kwenye ballot...SC ikatupilia mbali,

saizi ndio wamekuja na hii ya kumfilisi.......
 
trumpy’s fraudulent business practices has nothing to do with Letitia being a democrat whatsoever.
 
Wamembambikizia kesi.
Trump ni tapeli muda mrefu tu,
Kesi ya utapeli ya Trump University akitakiwa kuwalipa wanafunzi aliowafanyia utapeli Million 25$ iliamuliwa na mahakama mwaka 2017 Trump akiwa Rais.
 
Back
Top Bottom