Billionaire Trump Cannot Post a $454 Million Bond!

ni wajinga tu ndio wanaamini kuna demokrasia pale..... uhuni tu
 
Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm?
fungua macho na akili,..

walianza kwanza kumpa makesi mengine mengine, walipoona ametoboa wakaja na rulling ya kumwondoa kwenye ballot...SC ikatupilia mbali,

saizi ndio wamekuja na hii ya kumfilisi.......
 
trumpy’s fraudulent business practices has nothing to do with Letitia being a democrat whatsoever.
 
Wamembambikizia kesi.
Trump ni tapeli muda mrefu tu,
Kesi ya utapeli ya Trump University akitakiwa kuwalipa wanafunzi aliowafanyia utapeli Million 25$ iliamuliwa na mahakama mwaka 2017 Trump akiwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…