Kha! Basi very soon tutasikia billionaire mtoto kutoka Tanzania akimiliki makampuni, ardhi na vyombo vya usafirishaji......
umesahahu malori ya kusafirisha mafuta, kampuni za kuuza mafuta, mamayake wa kambo anamiliki womens bank, trust wenye 50% share PAP etc