Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Hela zote zitakazopatikana kwenye kuuzwa Chelsea zitaenda kusaidia Waathirika wa Vita.Kwa kutangaza nia ya kuiza tim ya Chelsea, Abramovich anakuw amezitega nchi za wanachama wa NATO / western zilizokuwa ziki mtaka amshauri Putin kuachana na nia yake ya kuibamia ukraine!
Hawezi fanya huo ujinga!Hela zote zitakazopatikana kwenye kuuzwa Chelsea zitaenda kusaidia Waathirika wa Vita.
Sasa unafkiri kwanini club inauzwa? Tena yeye amefanyiwa tu fair wenzake mali zao zimetaifishwa.Hawezi fanya huo ujinga!
Yeye mwenyewe kasema, wewe unabisha nini?Hawezi fanya huo ujinga!