Billionaire wa Misri aonyesha nia ya kuinunua Chelsea Football Club.

Billionaire wa Misri aonyesha nia ya kuinunua Chelsea Football Club.

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
764
Reaction score
1,892
Billionaire wa Misri, Loufty Mansour ameonyesha nia ya kuinunua Chelsea Football Club.
Hii ni baada ya mmiliki wa sasa wa klabu hiyo, Billionaire wa Urusi Roman Abramovich kuthibitisha nia yake ya kuiuza klabu hiyo ambayo ni bingwa mtetezi wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE #UCL.
Loufty Mansour ni mtoto wa kiume wa Billionaire wa Misri, Mohamed Mansour. Pia Loufty ni mkurugenzi wa Man Capital, kampuni inayojihusisha na uwekezaji na inayomilikiwa na kampuni mama ya Mansour Group.
Katika jambo linaloonyesha upenzi wake kwa Chelsea FC, Mansour anatiketi ya msimu(Seasonal ticket) kwa mechi zote za Chelsea kwenye uwanja wao wa nyumbani Stamford Bridge.

images.jpeg
 
Kwa kutangaza nia ya kuiza tim ya Chelsea, Abramovich anakuw amezitega baadhi ya nchi za NATO / western zilizo muomba amshauri Putin kuachana na nia yake ya kuibamia ukraine!
 
Kwa kutangaza nia ya kuiza tim ya Chelsea, Abramovich anakuw amezitega nchi za wanachama wa NATO / western zilizokuwa ziki mtaka amshauri Putin kuachana na nia yake ya kuibamia ukraine!
Hela zote zitakazopatikana kwenye kuuzwa Chelsea zitaenda kusaidia Waathirika wa Vita.
 
Back
Top Bottom