Bei ya klabu ya Chelsea ni zaidi ya utajiri wa Mo bakressa Rostam kwa pamojaBillionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea
=============================
Roman Abromovich leo ame confirm habari iliyokuwa imesembaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari kwamba ameamua kuiuza Chelsea Football Club.
Abromovich amekuwa mmiliki kwa miaka 19. Kwenye statement iliyochapishwa kwenye Chelsea club website leo. Pia amesema pesa itakayo patika ataitoa kama msaada kusaidia waathirika wa vita Ukraine.
Vile vile amesema kwamba hataidai Club ya Chelsea mkopo aliwapa ambao ni dola bilioni 2!
Source: Statement from Roman Abramovich | Official Site | Chelsea Football Club
Vivyo hivyo hata akiitwa waziri au rais mkuuMkuu, mtu akiitwa bilionea kwa uchumi wa tanzania…na mwingine jina hilo hilonkwa uchumi wa ulaya, hao ni watu waili tofauti sana
Yes nakubaliana na wewe uwekezaji wa ROMAN pale Chelsea ulivutia wawekezaji kwenye soka kwa ujumlaWalimnyima pamoja uwekezaji kwenye mpira ulisaidia sana kuvutia wawekezaji wa nje!
Chelsea kipindi iko alichonunua alikuwa inapulia mashine!
Ni tilioni 7 kwa hela ya bongoBei ya klabu ya Chelsea ni zaidi ya utajiri wa Mo bakressa Rostam kwa pamoja
YesNi tilioni 7 kwa hela ya bongo
Sehemu yeyote ambapo mmarekani ana maslahi napo huwa nakwenda kinyume nao! Urusi ni ndugu zetu kabisa, naunga mkono Ukraine apigwe tu
Tupatie digits (net values) zao[emoji871]Kwa hiyo thamani ya Simba Sports Club inayomilikiwa na Bilionea wa Tanzania[emoji1241],
Mo Dewji.
[emoji871]Ina thamani sawa na Chelsea Club [emoji170] ya Uingereza inayomilikiwa na Abramovich?
[emoji871]Ingekuwa ni hivyo.........duh!