Billionea Abramovich atangaza kuuza mali zake zote nchini Uingereza ikiwemo Chelsea FC. Mabilionea wa Tanzania changamkieni fursa!

Billionea Abramovich atangaza kuuza mali zake zote nchini Uingereza ikiwemo Chelsea FC. Mabilionea wa Tanzania changamkieni fursa!

Billionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea

=============================

Roman Abromovich leo ame confirm habari iliyokuwa imesembaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari kwamba ameamua kuiuza Chelsea Football Club.

Abromovich amekuwa mmiliki kwa miaka 19. Kwenye statement iliyochapishwa kwenye Chelsea club website leo. Pia amesema pesa itakayo patika ataitoa kama msaada kusaidia waathirika wa vita Ukraine.
Vile vile amesema kwamba hataidai Club ya Chelsea mkopo aliwapa ambao ni dola bilioni 2!

Source: Statement from Roman Abramovich | Official Site | Chelsea Football Club
Bei ya klabu ya Chelsea ni zaidi ya utajiri wa Mo bakressa Rostam kwa pamoja
 
Mkuu, mtu akiitwa bilionea kwa uchumi wa tanzania…na mwingine jina hilo hilonkwa uchumi wa ulaya, hao ni watu waili tofauti sana
Vivyo hivyo hata akiitwa waziri au rais mkuu
 
Walimnyima pamoja uwekezaji kwenye mpira ulisaidia sana kuvutia wawekezaji wa nje!

Chelsea kipindi iko alichonunua alikuwa inapulia mashine!
Yes nakubaliana na wewe uwekezaji wa ROMAN pale Chelsea ulivutia wawekezaji kwenye soka kwa ujumla

Man city wangekuwa sawa na wigan leo hio kama sio roman kuweka mfano mashekh wakaja na arab money

New Castle

Psg

Monaco

Hawa wotr wamefaidika na uwekezaji wa Chelsea kama mfano
 
Najisikia vibaya sana na mawazo mno..Je atakayenunua atafanya kwa Abromovich?

Tumezoea Mataji...!
 
GSM amemtuma Hersi aende London kuona uwezekano wa kuinunua.

Halafu Zuzu Manara ataitisha press cku zijazo kutoa mrejesho.
 
[emoji871]Kwa hiyo thamani ya Simba Sports Club inayomilikiwa na Bilionea wa Tanzania[emoji1241],
Mo Dewji.

[emoji871]Ina thamani sawa na Chelsea Club [emoji170] ya Uingereza inayomilikiwa na Abramovich?

[emoji871]Ingekuwa ni hivyo.........duh!
Tupatie digits (net values) zao
Je wote wako kwenye same digits interms of USD?
If yes, basi CFC na simba ya MO wako sawa
Asante!
 
ACHA AIUZE KWANI PUTIN ANACHEZA NAMBA NGAPI? UKRAINE INATUFUNGULIA JINSI WAZUNGU WALIVYO WANAFIQ.WATAKUJA wataalam wa kivita kutetea hili vita na mfanyabiashara wapi na wapi.
 
Back
Top Bottom