Billionea aliyemnunulia raila gari aina ya Hummer ampongeza ruto kwa kumtoa jela

Jombaa, tazama haya masuala kwa jicho la tatu, hii ni vuta nikuvute za kisiasa kati ya Ruto na Raila, la sivyo Ruto hangejisumbua hata kidogo. Hahaa [emoji1] na bado utasikia mengi kabla uchaguzi wa 2022 uwadie.
 
Jombaa, tazama haya masuala kwa jicho la tatu, hii ni vuta nikuvute za kisiasa kati ya Ruto na Raila, la sivyo Ruto hangejisumbua hata kidogo. Hahaa [emoji1] na bado utasikia mengi kabla uchaguzi wa 2022 uwadie.
Hivi niulize, rao atapigania kiti cha urais kweli?
 
Jombaa, tazama haya masuala kwa jicho la tatu, hii ni vuta nikuvute za kisiasa kati ya Ruto na Raila, la sivyo Ruto hangejisumbua hata kidogo. Hahaa [emoji1] na bado utasikia mengi kabla uchaguzi wa 2022 uwadie.
Siasa zenu ni kama series iliyo andaliwa Hollywood. Kuna jamaa yangu alikua ana muhonga teacher ali amletee magazeti aweze kufuatilia siasa zenu ajabu mkienda canteen hana pesa ya msosi inabidi umnunulie! Ila uwekezaji wake umemsaidia, sasa hivi anaingia kwenye mfumo wenu. Niatamuombea awe raisi wenu ile nije kupiga deal za kifisadi Nai [emoji23]
 
Nimecheka sana. Vipi kuhusu mchumba wako wanjiru?
Ni risto ndefu... ila ime mada. Sasa hivi niko single & ready to mingle[emoji41]. Mimi ni yule msee atakae kufanya uhisi ww ni manzi pekee aliye alive hapa duniani.
Ata msimamo wako kwenye battle Dar Vs Nai uta change, utaanza ku like comments za icho boy [emoji23]
 
Hivi niulize, rao atapigania kiti cha urais kweli?
Atakosaje? Naona karata zake siku hizi anazicheza kiutaalamu sana. Usishangae akiapishwa kama rais wa Kenya baada ya uchaguzi wa 2022, na sio na Miguna Miguna kama ule wakati mwingine.
 
Ichoboy anasumbuliwa na uzalendo. Ukweli anaujua. Ulisoma shule gani Kenya?
 
Hahaha! [emoji1] Chakula cha nini bana, gazeti kwanza! Kali sana.
 
October 27, 2018
A FULL STORY by
Don Bosco Gichana, hear how he spent five good years behind the bars and since he had no option he was 'forced to plead guilty' in order to secure his freedom. But again was it a set up by his political enemies back in Kenya or money laundering or stealing pensioners money in the USA. Failed jailbreak story, haters and pretenders spreading rumours in Kenyan media etc Please be seated and listen :

c.c Ndege JOHN
 
Ndiyo ukweli wenyewe huo uliousema!
Hahaha! [emoji1] Natania tu, nadhani wakulaumiwa ni wanahabari wa Tz na media kwa ujumla. Hizi nyakati za habari kwenye mitandao zimerahisha sana mambo na sio kibarua kigumu kufatilia habari kutoka sehemu yeyote ile duniani. Ila quality ya media na wanahabari wa kitz inawafanya wengi wasiweze kufatilia habari kutoka Tz kwa urahisi. Mimi mwenyewe nilishindwa kuwaelewa, yaani wapo wapo tu, hawajiongezi.
 
Ukitaka quality kwa Tz tafuta Azam decorder uone Azam channels, uki watch news ni kama una angalia BBC! Quality studio iliyo jengwa na timu iliyotengeneza studio mpya za BBC, Alikuja boss wa BBC world akasema haoni tofauti na studio yake ya London. Uchambuzi usiyo egemea upande, watangazaji waliobobea kwenye game. Wengi wame wanunua kutoka BBC idhaa ya Kiswahili. Ile taharifa yao huwa inatumia pesa maana daily lazima walete wabobezi wa news ambazo zime make headlines, au kuwasiliana nao online popote walipo duniani. Citizen tv yenu inajitahidi pia.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Sanasana sikuwa namaanisha quality za studio. Nilimaanisha taaluma ya uanahabari, uthubutu wa kuvuka mipaka ili kuwasilisha habari na uwazi wa kuanika kila kitu hadharani. Uhuru wa wanahabari pia. Kuna ma'investigative journalists' mfano mzuri ni aliyekuwa KTN, Mohamed Ali, John Alenamu, Onsarigo n.k. Huo ndio mvuto kamili wa habari, kufichua yote bila uoga.
 
Hivyo vyote unavipata Azam Tv, huyo jamaa Mohamed Ali nini kili mkuta! Alikua anajilipua sana. Hivi wale madogo wanao chezaga kwenye 10/10 huwa wanatolewa wapi.. wanalipwa? Maana wanajichetuaga si kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…