Ukitaka quality kwa Tz tafuta Azam decorder uone Azam channels, uki watch news ni kama una angalia BBC! Quality studio iliyo jengwa na timu iliyotengeneza studio mpya za BBC, Alikuja boss wa BBC world akasema haoni tofauti na studio yake ya London. Uchambuzi usiyo egemea upande. Wengi wame wanunua kutoka BBC idhaa ya Kiswahili. Ile taharifa yao huwa inatumia pesa maana daily lazima walete wabobezi wa news ambazo zime make headlines, au kuwasiliana nao online popote walipo duniani.Sent from my SM-J110H using
JamiiForums mobile app