Billionea aliyemnunulia raila gari aina ya Hummer ampongeza ruto kwa kumtoa jela

Billionea aliyemnunulia raila gari aina ya Hummer ampongeza ruto kwa kumtoa jela

Hivyo vyote unavipata Azam Tv, huyo jamaa Mohamed Ali nini kili mkuta! Alikua anajilipua sana. Hivi wale madogo wanao chezaga kwenye 10/10 huwa wanatolewa wapi.. wanalipwa? Maana wanajichetuaga si kidogo.
Sawa jombaa. Mohammed Ali bado yupo, ni mbunge siku hizi kule pwani, wanamuita Mheshimiwa Jicho la Simba. [emoji1] Huwa ananikosha si haba akikiwakilisha kiswahili bungeni. Mara nyingi nikiwa na muda huwa natizama The Trend, NTV. Sielewi za 10/10.
 
Umenikumbusha kuhusu rais flani aliyeamuru wabakaji waachiliwe kabla hawajamaliza kutumikia kifungo chao. Sijui na yeye pia tutamuitaje.
Mbakaji nambari moja...kaibaka Tz kiuchumi kwa zero return investments.
 
Sawa jombaa. Mohammed Ali bado yupo, ni mbunge siku hizi kule pwani, wanamuita Mheshimiwa Jicho la Simba. [emoji1] Huwa ananikosha si haba akikiwakilisha kiswahili bungeni. Mara nyingi nikiwa na muda huwa natizama The Trend, NTV. Sielewi za 10/10.
Safi sana kumbe ameula, hard work pays. Hiyo 10/10 niliona kwenye you tube harmonise alipewa shangwe sana na madogo walikua wanayarudi kama wako kwenye steroids.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cheki kwa YouTube. Alisema atahamia Kenya. Wasanii wenu wanapenda Kenya kweli
Nitaicheck, ata wasanii wenu wana papenda bongo. Kwenye E.A.C Ke na Tz ndizo nchi zina mwingiliano mkubwa wa kitamaduni na ki mazingira, ata kwenye maendeleo ndiyo zina kimbizana. Kwa uzoefu wangu ni rahisi Mkenya kuwa karibu na Mtz and vice versa kuliko mtu wa nchi yoyote Africa. Hili utaligundua mkikutana njee ya nchii zenu.
 
Nitaicheck, ata wasanii wenu wana papenda bongo. Kwenye E.A.C Ke na Tz ndizo nchi zina mwingiliano mkubwa wa kitamaduni na ki mazingira, ata kwenye maendeleo ndiyo zina kimbizana. Kwa uzoefu wangu ni rahisi Mkenya kuwa karibu na Mtz and vice versa kuliko mtu wa nchi yoyote Africa. Hili utaligundua mkikutana njee ya nchii zenu.
True
 
December 3, 2018
Arusha, Tanzania

Mshirika wa Don Bosco Gichana katika kesi ya kutakatisha fedha US $ Milioni 18, wakili Median Mwale ahukumiwa miaka 7 jela na faini ya Tshs. 200 million. Don Bosco Gichana raia wa Kenya alipigwa faini ya Tshs. 300 Milioni na kuachiwa huru mwezi mmoja uliopita baada ya kusota rumande kwa miaka kadhaa .

Source : Azam TV
Arusha court sentenced Don Bosco Gichana to a five year term and a TSh300 million (Sh15 million) fine for the crimes of conspiracy and money laundering.

Don Bosco Gichana, the youthful politician, was accused of electronically filing false tax returns to the US State Department of Treasury Internal revenue service between years 2008 and 2011.

While filing the returns, the court heard that Gichana used names of Syron Hess, Dale Houston, and Herbert Breneman in false pretence.

Attempts in the past to have him released or case concluded have failed even at the highest level after Kenyan leaders including Deputy President William Ruto, Raila Odinga and Kalonzo Musyoka failed to sway Tanzanian authorities.

Family and friends of Kenyan Don Bosco Gichana detained in Tanzania for six years have begun raising Sh15 million to secure his release.www.standardmedia.co.ke
 
Don Bosco alikamatwa na kufungwa nchini Tanzania 2013
Bosco na rafikiye ambaye ni wakili walipatikana na kosa la kusambaza noti bandia
Akakubali makosa na kufungwa jela miaka mitano
Mwanabaishara tajika Don Bosco Gichana amejitokeza wazi na kumpongeza pakubwa Naibu Rais William Ruto kwa kusaidia katika kumtoa jela baada ya kifungo cha muda wa miaka mitano.Tanzania
Ingawa hakueleza kuhusu alichofanya Ruto katika kumtoa jela, bilionea huyo alibainisha kuwa Naibu Rais alimsadia na kuwa walikuwa wakizungumza muda wote alipokuwa jela.
Alimpongeza pakubwa Naibu Rais William Ruto kwa kumtoa jela.
Mwanabishara huyo mwenye umri wa miaka 41 amefanya mikutano kadhaa na viongozi wakuu serikalini akiwemo Naibu Rais William Ruto.

‘’ Asante sana kwa mchango wako katika kuachiliwa huru kwangu. Mungu akubariki William Ruto kwa ushauri wako muda huu wote,’’ alisema alipokuta na Ruto Alhamisi, Okotoba 25.
Mwanasiasa huyo ambaye aligonga vichwa vya habari 2007 baada ya kumzawidi Raila odinga gari aina ya Hummer SUV amekuwa jela tangu 2013.
Bosco alikamatwa akiwa Namanga baada ya kumtembelea wakili rafikiye Median Mwale aliyezuiliwa katika kituo cha polisi cha Arusha ya Kati.
Wawili hao wakifungwa baada ya kukubali makosa ya kusambaza noti bandia.

Maelfu walihudhuria sherehe ya kumkaribisha humu nchini Ijumaa, Oktoba 26 katika kaunti ya Kisii.
Kama alifungwa miaka mitano 2013 na hii ni 2018 ina maana katumikia kifungo chake chote.

Cha kushangaza, mleta mada anacheza na maandiko ya kutaka kutuaminisha kuwa Ruto amehusika na kutoka

kwa Bosco jela, wakati mfungwa anamshukuru tu kwa ushauri na kuongea nae kwa simu alipokuwa jela.
 
Kenyan politics nimegundua inafwatiliwa sana, With all our neighbors. I was reading an Ethiopian Journalist article analysing deep Kenyan politics hadi unadhani ni mkenya, Tanzanians are even worse. A primary school child might even be knowing all the governors in kenya plus their politics but knows nothing about his country's politics[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pambaneni na hali zenyu.
Si kwamba mnafuatikiwa sana, ni mfumo wetu wa elimu ndio unatu-expose kwenye vitu vingi sana, wakati nasoma shule ya msingi nililazimika kujua majina ya viongozi wa nchi zote za Afrika, nchi na miji mikuu yake.

Vv
 
Ni kweli kabisa, Mtanzania wa kawaida anajua zaidi kuhusu Kenya kuliko kinyume chake, nimefika Kenya mara nyingi na ukiondoa Raisi Magufuli, hakuna Kiongozi wanayemjua, kwanza nilishangaa hata hawajui kama TZ kuna makamu wa Raisi achilia mbali jina la Waziri mkuu wetu, Wakenya webgi walijua kwamba TZ kuna Makamu Raisi siku ya kuapishwa Uhuru Kenya ambapo Raisi wetu aliwakilishwa na Mama Samia Makamu wetu wa Raisi, lkn hapa Bongo wanaweza kukwambia majina ya Viongozi wote wa Kenya hadi hata Upinzani!

Hata ukiangalia TV ya TZ hukosi news ktk Kenya au sijui UG, lkn ukiwa Kenya au Uganda kuona news za JMTZ ni mara chache sana!
sio kweli, unafikiri nje ya kipindi cha uchaguzi Kenya ni wakati gani mwingine watanzania wanajadili siasa za Kenya? Humu tunakadili kwasababu haiepukiki?
Ukitaka kujua yupi anamjadili yupi sana, fungua youtube badilisha location halafu angalia trendings kati ya tz na Kenya. 100% ya contents za trending in Tz ni za Tanzania, Kenya wana more than 7% ya Tanzania contents. Unafikiri kwenye jukwaa kama hili la wakenya hawamjui Lissu, Kabwe, Mbowe, Lema, Joseph Haule, Makonda, Jokate nk? Linganisha platforms ndo utapata fair comparison. Huwezi kukuta kijiwe cha kawaida Tanzania wanajadili kuhusu Kenya.
 
Kenyan politics nimegundua inafwatiliwa sana, With all our neighbors. I was reading an Ethiopian Journalist article analysing deep Kenyan politics hadi unadhani ni mkenya, Tanzanians are even worse. A primary school child might even be knowing all the governors in kenya plus their politics but knows nothing about his country's politics[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pambaneni na hali zenyu.
kwa sababu siasa zenu zimejaa mizengwe na vichekesho tuu ukitaka kujua sema hapa jana Mike sonko kafanya kituko gani huko kwenu?? mnaongozwa na viongozi wanapaka kiwi kichwani siasa yenu ni comedy tuu..
 
Inahitaji moyo wa kujitolea kusaidia maskini aliye kwenye matatizo, hasa kwa kufuata sheria. Ila mtu anayemsaidia tajiri aliye kwenye shida inajulikana ana sukumwa na nini hasa akitumia nguvu za ziada kutimiza lengo lake.
Kwhyo ni haki kw maskini kubaka
 
Back
Top Bottom