Billionea wa Danube ajuta kuwekeza Tanzania

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .

Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi

All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
 
Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±
 
Nilijua habari ya kiuchumi kumbe ya bongo flavor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…