Billionea wa Danube ajuta kuwekeza Tanzania

Jaman jaman jaman tusitukanane heee wengi wanaomiliki insta midomo juu hawana uwezo wa kununua hata kijiko danube,account nyingi za umbea zinategemea matangazo ya wafanyabiashara wadogo wadogo kwa sh elfu kumi kwa wiki mbili au mwezi hio hela ya kushop danube wataipatia wapi sasa

Jamaa kawajibu kuhusu kuandika complaints kwa email na kuwaambia muwe wasomi sio kulalamika kwenye account yake binafsi ya insta ila sasa watu mnachekelea eti mmemkomesha anajuta aiseeee
 
Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!

Hebu tutolee ujinga wako na madharau kwetu, hao unawaamini mbona hawakuikoa uchumi supermarket hadi ikafungwa? Au pia wateje ndo sie wapiga domo wa insta? Wote tumefulia tu hayo makochi yao wapeleke Uganda

Mkuu mwenyewe yupo instagram na anapenda ushilawadu vilevile
 
F

Wewe huna hata uwezo wa kununua hata kigoda hapo DANUBE.
 
Kuna watanzania wanatia aibu , utafikiri wana hela hata za kununua kitu Danube.

Katika wote wanaotukana sijaona anaeweza kununua set ya kitanda kwa mil. 5
Hata akiambiwa laki hakuna hata mmoja
 
Akili zetu ndogo sana. Angalia wengi wanaokesha Insta....hakuna kitu. Kazi kuandika tu mambo ya kusadikika.

Hawana uwezo wa kuzuia biashara kisa wanatoa hizo comment.

Kweli tunahitaji kwenda shule na kuelimika.
 
Nimekuja fasta nikidhani TRA wamewapiga paga.... Kumbe kusutana

Serikali ikubali kuingia hasara kuwabadilisha wanawake Software zao za Medular
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
 
Insta kuna wazushi sana. Halafu wengi sound tu. Hawana lolote
 
Bidhaa za Danube mnazimudu au longolongo tu,kwa hiyo nyie ndiyo uhamiaji! Kama dili Zari keshapiga na atazidi kupiga nyie pambaneni tu na mafuriko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…