Billnas amvisha Pete ya Uchumba Nandy

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
Msanii wa bongo Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy live ndani E tv

Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy ikiwa sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kesho tarehe 11/4.

 
Sijui kati ya Ruge au Billnass nani alikuwa anamgongea mwenzie na huyu Nandy alikuwa ana wahandle wote.

Ila mtoto wa kike kutoboa kwenye mziki ni kazi sana.
Nenga alikuwa anamla kitambo, 'Boss' Ruge aliingilia kati kiubabe Nenga akawa hana namna zaidi ya kukaa pembeni tu asije akazimiwa data bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…