Billnas amvisha Pete ya Uchumba Nandy

Billnas amvisha Pete ya Uchumba Nandy

Naona akaamua kujipiga benchi mwenyewe au inawezekana aliambiwa "kijana kaa mbali na Nandy nitaharibu Carrier yako" .
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

god is good
 
Msanii wa bongo Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy live ndani E tv

Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy ikiwa sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kesho tarehe 11/4.
View attachment 1415887

Life is a bitch.

You give a woman power, money, fame then you die and she end up get fu**ed by someome she told u to not worry about!
 
Kama kuna mtu bado anaamini kwamba Nenga alikua hamegi kisela hata kipindi Boss akiwepo, basi huyo mtu atakua hawajui vizuri wanawake.
Point.

Huwa hakuna mapenzi ya kweli kati ya kibopa wa kiume na binti anaeanza maisha. Akili za hawa viumbe wanazijua wao na muumba wao tu
 
Kapiga goti!!

Hii kitu kwangu naiona imekaa kitemi sana
Huo ufara wa kupiga goti siji kufanya maishani mwangu

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Back
Top Bottom