Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Gonjwa hili limezua kiazaa zaa mzozoo gumzo gumzo kwa mabronzo,masista duu,machizi,walimu na wanafunzi.Mkuu huu msemo wako unaupenda na nilitumia nguvu nyingi kuuelewa. Kitambo kimepita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gonjwa hili limezua kiazaa zaa mzozoo gumzo gumzo kwa mabronzo,masista duu,machizi,walimu na wanafunzi.Mkuu huu msemo wako unaupenda na nilitumia nguvu nyingi kuuelewa. Kitambo kimepita.
Si kila siku tunaambiwa pesa ni kila kituMapenzi sio pesa Ruge alikuwa anaforce mambo..sana.. Ukishafikisha 40 + Tafuta tu mzee mwenzako.
Angeweza kuwa anapiga kimya kimya..Hapa ndo unaona mapenzi yalivyo yakiduanzi sometimes..Inamaana kama boss ruge angekuwepo basi nenga angekuwa anakula kwa macho tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huja date na mchaga weweKweny mapenzi pesa haina nafsi
Naona akaamua kujipiga benchi mwenyewe au inawezekana aliambiwa "kijana kaa mbali na Nandy nitaharibu Carrier yako" .Nenga alikuwa anamla kitambo, 'Boss' Ruge aliingilia kati kiubabe Nenga akawa hana namna zaidi ya kukaa pembeni tu asije akazimiwa data bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna mtu bado anaamini kwamba Nenga alikua hamegi kisela hata kipindi Boss akiwepo, basi huyo mtu atakua hawajui vizuri wanawake.Angeweza kuwa anapiga kimya kimya..Hapa ndo unaona mapenzi yalivyo yakiduanzi sometimes..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona akaamua kujipiga benchi mwenyewe au inawezekana aliambiwa "kijana kaa mbali na Nandy nitaharibu Carrier yako" .
Msanii wa bongo Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy live ndani E tv
Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy ikiwa sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kesho tarehe 11/4.
View attachment 1415887
Point.Kama kuna mtu bado anaamini kwamba Nenga alikua hamegi kisela hata kipindi Boss akiwepo, basi huyo mtu atakua hawajui vizuri wanawake.
Hatari mkuu.
Huo ufara wa kupiga goti siji kufanya maishani mwanguKapiga goti!!
Hii kitu kwangu naiona imekaa kitemi sana