Billnas amvisha Pete ya Uchumba Nandy

sasa si naskia boss Ruge alikua kaungua na alikuwa anakula huyo Nandi au?
 
Ruge alikuwa anakaa mlangoni tu, mpaka kafa ndio bwa mdogo kapata nafasi ya kuingia ndani.
 
Sijui kati ya Ruge au Billnass nani alikuwa anamgongea mwenzie na huyu Nandy alikuwa ana wahandle wote.

Ila mtoto wa kike kutoboa kwenye mziki ni kazi sana.
Yani hakuna shaka kuwa Nandy anampenda sana Billnas Ruge alikuwa tu daraja na angeolewa nae bado Nenga angeendelea kumla mtoto.
Yani akiwa na Billnas unamuona anavyokuwa ana furaha kabisa
 
Huyo demu kamuelewa sana mchizi hata ile interview ya millard wakati wametoa bugana ilinionesha .....sema mchizi alikua akimchukulia demu kawaida nadhani baada ya kuona kumbe Ruge alikua siriazi mpaka kutaka kumuoa akaona hebu niangalie kuna nini hapa ndo ameshtuka hii hutokea sana kwa wana.
Inaonekana Nandy alikuwa bado anamkubali Nenga..Nguvu ya pesa ndo ilimpeleka kwa Ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…