Billnas& Barnaba waiponda miguu ya dogo janja.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wanamuziki Billnas na mwenzake Barnaba wameiponda miguu ya dogojanja na kudai kwamba jamaa ana miguu membamba kama chelewa.

Billnas alienda mbali zaidi kwa kudai kwamba jamaa ashukuru Mungu mtoto wake Krish anasoma international school bila hivyo kama angekuwa anasoma Kayumba halafu siku akaaigizwa chelewa basi dogo janja angeamka asubuhi angejikuta hana miguu .

 
Viugoko havina supu hivyo.
 
Utani wa ngumi huo eti anatembelea chelewa!!!
 
[emoji23] [emoji23] Anaemcheka mwenzie na anaechekwa wote sare sare ngoko,,ila wanaume mh[emoji41]
 
wanamiguu ya kike
mguu wa wanaume unatakiwa ujikate
 
Nimetabiri miaka 5-7 ijayo dogo janja atakuwa mnene. Nani alidhan qchief-chilla na Mwana FA watanenepa?
Hamnaga mtu mwembamba ni suala la muda tu. Kaka angu alikuwa mwembamba hatari.. hadi nguo alikuwa anavaa mbilimbili.. lakin alipokuja tusua maisha, alivuta shavu balaaa.. sasa hiv anahangaika kupunguza uzito
 
Hizi ndizo Habari za watanashati wa mjini Kama Huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…