Billnas wenzako hawajaanza ivo!

Billnas wenzako hawajaanza ivo!

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Wadau bila shaka kama wewe ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nyimbo ambazo zimemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kiasi hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yeye ndiye legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!

Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!

bill.jpg

Mi naonaga ni kati ya wasanii wa bongofleva wanaojua sana kujieleza kwenye intavyuu. Ila kama anadharau waliomtoa anakosea sana
Mkuu ukifuatilia interview za billnass ni moja ya msanii ambae akiwa anajibu swal huwa anajibu kama mtu mtu alierizika na maisha Mnoo refference tafta you tube kipnd e-newz checheee ya billnas uone ni namna gan majiran zake wanavyomjudge!!
 
Dogo bdo ana safari kubwa sana kwenye game hii"
"mziki unahela pale unapoingia pesa nyingi ziko mbele hutozifikia" joh makini line
Anapaswa ajue hilo ila kwa maana tumemchana humu iwish anaweza kuona hiki kitu maana JF ni ya wanajamii wote yawezekana nae kauptia uzi huu! Ila anaznguaa kununua gar na kushut south Africa si kigezo cha kumfanya sjikute alipo niboa zaid ni pale aliposema GODZILLA anatafta kiki kwake[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Nilifikiri unaongelea ile klabu ya mjini Dar. Napita simjui..kama wewe unamsifia na kumsikitikia, ungeweka hata nyimbo yake moja nasi tumjue. Na views kwake utube zitaongezeka
 
Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!

Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!
Wewe kuishi na mla ngada TID ni kazi kuliko hats simba
 
Haa haa haa nakumbuka hata diamond na Mr.blue walipoanza watu waliwaambia maneno haya haya lkn Mungu sio athumani wala habaniAgi wametoboa
 
Haa haa haa nakumbuka hata diamond na Mr.blue walipoanza watu waliwaambia maneno haya haya lkn Mungu sio athumani wala habaniAgi wametoboa
Hahahaaa mkuu ila Nass anazngua kusema GODZILLA anatafta kk kwake[emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Back
Top Bottom