Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!
Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!