Billnas wenzako hawajaanza ivo!

Billnas wenzako hawajaanza ivo!

Wadau bila shaka kama ww ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nymbo ambazo zmemfanya msanii huyu kujikuta star kupita kias hata awapo kwenye live interview zake amekuwa akijibu maswali kwa mapozi utadhani yy ndie legend wa mziki wa hip hop Tanzania si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!

Angalizo dogo usipobadilika tutakupoteza kwenye hii industry ya mziki kwan wenzako waliokuja kwa style zako wapo wanauza mitumba!!
Mfano wa hao walio kuja ivo na wakaishia kuuza mitumba japo wa 5 tu.
 
Wadau kwa msaada mwenye pcha ya billnas aquote coment ya@mzurimie na aishare hapa tumsaidie mimi bnafsi sina na sipend kuwa na pcha ya msanii mwenye dharau na nidham kwa wakubwa zake

Ok kumbe amejaa na matabia yote hayo..usijali anipite tu.
 
Mfano wa hao walio kuja ivo na wakaishia kuuza mitumba japo wa 5 tu.
Poa wafutao walivuma ila baadaya kuwadharau waliowatoa walipotea
1.sajna -alimzngua kidbway
2.Top c-alimzingua bob junior
3.Fadidad-alimzingua steve white
4.Spack -alimzngua babu tare na kukimbia tip top
5.Pnc -alimzingua ostaz juma na msoma etc wengne naamin wadau watakuongezea![emoji14]
 
Hao ndo walikua waki hojiwa wana jibu kwa dharau na walikua anajiona mastar sio?
Au umetaja wasanii walio potea kimziki tu?
 
Billnas huwa anajibu fair sana. Hata akiulizwa kuhusu T.I.D huwa anajibu vizuri wala haoneshi dharau kabisa. Tatizo lipo kwa mnyama
Sure.. mi bado sijaona dharau zake aisee..Mnyama mi uwa simchukulii serious sana.. Ye anaongea tu chochote anachojisikia
 
nlisikia kwenye interview moja akisema hamjui ManFongo wala track ya Hainaga Ushemeji... nkajua huyu ni bongo movie kakosa scene tu ya kuigiza
 
me binafsi namuelewa sana ila tabia zake za kujibizana na watu zitamharibia sana.
sio kila wakati kukaa unatumia siraha ya mdomo tu. akiendelea hvo atakorofixana na wengi. hatakama umeguswa kukaa kimya ni siraha toxa... waswahili hawa utawajibu wangapi.
 
nlisikia kwenye interview moja akisema hamjui ManFongo wala track ya Hainaga Ushemeji... nkajua huyu ni bongo movie kakosa scene tu ya kuigiza
Mkuu hapo wapo wanao mtetea kua anajibu fair huwa
Mwenyewe namwonaga anajibu kwa kujitia star sanaaa
 
Hao ndo walikua waki hojiwa wana jibu kwa dharau na walikua anajiona mastar sio?
Au umetaja wasanii walio potea kimziki tu?
Walikubaliwa na wakajitia viburi kwa waliowatoa kama Billnas anachokifanya kwa TID na ndo maana kwa majina yote hapo juu nilionesa kila mtu alimzingua nan kama hukuelewa kavae Miwani usome vizur
 
Jamani muwe positive
Madam habib live dogo anadharau sana niliangalia had chechee e-newz the way anavyozungumziwa na watu wake wa karibu kama vile Majiran etc dogo anaonekana kutojali pia sidhan kama yupo msanii aliye sereous na asimjue MAN FONGO kwa hiyo billnas kusema hamjui Man fongo ni moja ya dharau anashindwa kujua Kuwa Man fongo ni moja ya wasanii wanaopendwa na kukubalika live show kuliko yeye Bilnass!
 
Nyimbo mbili? Star serious? Uyo atasahaulika sio mda ndo hawa wavimba kichwa nakusahau alikotokea dhambi ya majivuno ita mtafuna anajulkana dar tu tena wilaya moja hhh vibongo flava vingine zengwee
 
huyu jamaa anajiona kama Drake vile anavyojisikia ila uwezo wake upo chini zaidi ya soski zangu
 
Wewe Billnas hiyo ndio ongea yake kama hataki vile wala sio pozi namfahamu huyu kijana
 
Huyu jamaa hana dharau hata chembe sema anajiamin na ndo ninachokifaham
 
Paizaneni na kushushana wenyewe huko kwa huko maana mnajuana wenyewe.
 
Mbona mmemuandama sana uyo jamaa au kwa sababu ya hit song zake yaan kama TID kutwa kulia lia kuhusu uyo dogo mwacheni nae atoboe
 
Huyu dogo pamoja na baadhi ya wasanii wanakera sana jinsi ambavyo huwa wanawajibu interviwers eti ili waonekane wapo confident.
 
Back
Top Bottom