Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kama alivyosema Dangote the advocate, kuishi na TID sio kazi ndogo... TID mkorofi by nature! Hata hivyo, kuna cku niliisikia interview ya Bill Nas. Labda kama kuna interview nyingine, lakini ambayo niliisikia alitoa respect nyingi sana kwa TID na Radar. Kitu ambacho nilikiona toka kwake ni kama mtu anayetafuta fursa zaidi... anyway, ile interview nilianza kumsikia TID akimwaga mbovu kama kawaida yake! Kabla Bill Nas hajaongea, hata mimi nilimuona dogo kavu lakini baada ya kusikia upande wa pili wa stori; tena bila kuiponda Radar au TID; hapo hapo nikamwelewa!....si hapo tu dogo huyo huyo ameshindwa kutambua thaman ya radah intertainment ambayo ndio kampuni iliyomfanya afke hapo alipo pia kando ya yote anashindwa kutambua japo Thaman ya msanii T.I.D Ambaye ndie aliyefanya wimbo wake wa ligi ndogo upate shabiki wengi na kumfanya awe billnas...!
TID hapendi kudharaulika ndo mana anaonekana mkorofiKama alivyosema Dangote the advocate, kuishi na TID sio kazi ndogo... TID mkorofi by nature! Hata hivyo, kuna cku niliisikia interview ya Bill Nas. Labda kama kuna interview nyingine, lakini ambayo niliisikia alitoa respect nyingi sana kwa TID na Radar. Kitu ambacho nilikiona toka kwake ni kama mtu anayetafuta fursa zaidi... anyway, ile interview nilianza kumsikia TID akimwaga mbovu kama kawaida yake! Kabla Bill Nas hajaongea, hata mimi nilimuona dogo kavu lakini baada ya kusikia upande wa pili wa stori; tena bila kuiponda Radar au TID; hapo hapo nikamwelewa!
Sure..Tid ana comedy nyingi..Uwa napenda interview zake..Anaweza kuongea/kumdiss mtu yeyote bila kuogopa..Na nadhani wasanii wenzake wanamuelewa ndo mana hawadili nae
TID Kakataa kuwa hakumsajili kwenye radar alpohojiwa kwenye kipindi cha kina soudy brown ijumaa clouds tv, pia alisema dogo niii,.... "CHICKEN HEAD "Billnass ni zao la Radar entertainment chini ya mzee mnyamaa TID aka Kigogo,Walioba ndo alimkuza jamaa na Kenyonga chorus za nyimbo zte zlizomtoa dogo kuanzia RAHA mpaka LIGI NDOGO sema kuanzia flow, connections za media alipewa na mnyama mwenyewe! Kuna interview fulan Mnyama anamlalamikia dogo kuwa I gave him the flow, Nilimpeleka kwa media na kumpatia connection bt hajawahi kuniambia mnyama Shika laki moja hii umenifanyia chorus Nzuri! By the way napendaga majibu ya TID kwenye interview zake