taarifa ni kuwa baada ya FM aka poster mwenzetu humu kufanya ukarabati watu bado wanaendelea kuichunia na matokeo yake Bill pamejaa watindiga,wanyalukolo,wanyakyu na washamba wengineo ambao wanalipa 40,000 kama kiingilio wakati kule Graden Bistro kiingilio ni kile kile buku kumi
hivi mlioenda humo bills mpya mnasemaje kuna kipaya u yale yale?
GT vp? Umetumwa na Gadern Bistro ufanye marketing while sabotaging BILLS???.
Kuhusu maneno
"mshamba" naomba nikukumbushe kule Sekondari kwenye Kiswahili wakati tunasoma somo la fasihi kwamba fasihi simulizi hubadilika kulingana na mazingira. This means inategemea na unachokiongea, ni wakati gani, ni wapi na ni kwa nini? Ukienda gereji ya magari utasikia mafundi gari wanatukanana
"kichwa kama gia box", likewise, kwa wauza mitumba utasikia
"kichwa kama robota la mitumba" It is all about the sorrounding environment!! Ni kama iliyo kwa maeneo ya bara kwamba kuna maneno yakitamkwa bara yanaonekana matusi lakini kwa Pwani shega tu, hata baba na mtoto wanabadilishana, shwari tu.
Coming to our topic, kumwita mwenzako mshamba (leaving apart whether it is defined by TUKI or not) kama ilivyozoeleka ni KASHFA! Am sure kwenye kamusi ya Kiswahili sanifu, japo sipo nayo hapa, wameelezea maana ya mshamba closer to what is taken to mean in our society.
Hivi uligunduaje kwamba BILLS wamejaa washamba wanaolipa 40K? Au na wewe uliaamua kuwa Mtindiga? Hata hivyo kwa definition yangu binafsi, mshamba ni kinyume cha neno mjanja! Sasa je, nani mshamba anayelipa 40K Bills au 10K Gadern Bistro.
Kama kwa definition ya GT, wa 40K ndo mshamba nafikiri atarudi palepale kwamba anayekwenda Masaki Gadern Bistro ndo mshamba zaidi if he/she is using a tax for e.g. for go & return. Kwa Bills full daladala mzee, but Masaki either "uprint" au tax though inategemea mtu anaishi wapi.
NAOMBA KUWAKILISHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!