Billy akiongea na mchumba'ake

Billy akiongea na mchumba'ake

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
BILLY- Tafadhari Njoo Nyumbani saa 2 usiku hakutakuwa na mtu.

Stella akaenda saa 2 usiku kwa kina BILLY lakini hakukuta mtu hata BILLY mwenyewe hakuwepo.

Je tatizo lilikuwa nini hapo? Lugha gongana au BILLY aliamua kumkomoa STELLA?
 
mbona liko wazi hilo,stella aliambiwa aende hakutakuwa na mtu,kwa kuwa Billy naye ni m2!hakupaswa kuwepo!hakuna tatizo lolote hata Stella mwenyewe alielewa ndo maana akaenda akijua kabisa hakuna m2
 
Kiswahili kimekaa vibaya sana hapo,,,,,

Stella yeye alijua kwamba aende akajivinjari na mchimba wake kwa kuwa hakuwakuwa na mtu (akijiwekea kuwa watu wengine) while Billy alimaanisha aje amlindie nyumba kwakuwa hakutakuwa na mtu yoyote ndani ya nyumba yao...

Daaaah nimejichanganya
 
Dah this is funny,ntaifanya on April fool's day eti!
 
Khaaa! sasa huyo Stella minyevuko itakuwa imemsulubuje?
 
BILLY- Tafadhari Njoo Nyumbani saa 2 usiku hakutakuwa na mtu.

Stella akaenda saa 2 usiku kwa kina BILLY lakini hakukuta mtu hata BILLY mwenyewe hakuwepo.

Je tatizo lilikuwa nini hapo? Lugha gongana au BILLY aliamua kumkomoa STELLA?

Angekua amkomoa kama angefika akakuta mtu...hata huyo Billy mwenyewe!
 
huyo lazima atageuka festulla badala ya stela
 
Back
Top Bottom