Billy Ocean ametimiza miaka 73

Billy Ocean ametimiza miaka 73

View attachment 2494934
Wahenga mtakua mnakumbuka nyimbo zake zilivyokua zinachangamsha get together parties.
Aisee hivi umejuaje kua Namkubali sana Bill Ocean Kama navyojikubali Mimi?
Nilipanga kumuandikia siku moja bonge la uzi humu huyu nguli Mambo yakanibana,
Aisee huyu Babu Billy ni Moto wa kuotea mbali mpaka leo akipanda stejini kupafomu sauti yake ni golden like 1980 alipokua kijana
Suddenly
Love Zone
Colour of love
Lover Boy
Carribean Queen
Nk ni ngoma zitazoishi milele kwenye kichwa changu
Daaaaaa
HBD legend!
 
Back
Top Bottom