Billy Sepenga ni nani?

Billy Sepenga ni nani?

Super Tuesday

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
636
Reaction score
727
wadau kuna mshikaji mmoja anaitwa Billy Sepenga huwa anakuwa na Sam Misago kwa dakika kadhaa kwenye kipindi cha FNL eatv kila ijumaa usiku. je huyu jamaa ni nani? nimeanza kumfahamu siku hizi.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
jaman am sorry huyu mtoto kananichefuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ongea yake anaruka ruka hatulii km maharage jikon arghhhhhhhhhh afu kanaifanya kajanjaa kanavaa manguo ynye label arghhhhhhhhhh analambaje lips sasa chefuuuuu
Sipati picha angekuwa ndio mtu wako
 
Sipati picha angekuwa ndio mtu wako


hahaha yaan imefika akianza kuongea kila mtu ananiita !hv huwa unamftilia anavyoongea yaan kazidisha ubarazamen had anaboa kanaruka ruka km kanakimbia mchak mchaka hapana jaman !afu label za nguo zinaonekana live eish
 
Kanajikuta katoto kamjiniiii aina hii ya watu unakuta hata geto hakana kanakaa kwa shemeji
 
IMG_20170929_041202.png
 
Back
Top Bottom