Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
wadau kuna mshikaji mmoja anaitwa Billy Sepenga huwa anakuwa na Sam Misago kwa dakika kadhaa kwenye kipindi cha FNL eatv kila ijumaa usiku. je huyu jamaa ni nani? nimeanza kumfahamu siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo nan tena huyo
Vijana wanaharibika sanakavulana hv kwakweli ukikaona utaishia kusonya kako eatv saa 3 usk ijumaa
Sipati picha angekuwa ndio mtu wakojaman am sorry huyu mtoto kananichefuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ongea yake anaruka ruka hatulii km maharage jikon arghhhhhhhhhh afu kanaifanya kajanjaa kanavaa manguo ynye label arghhhhhhhhhh analambaje lips sasa chefuuuuu
Sipati picha angekuwa ndio mtu wako
Utakuta labda hata kwenye kupiga ile mambo huwa kanarukarukahahaha yaan imefika akianza kuongea kila mtu ananiita !hv huwa unamftilia anavyoongea yaan kazidisha ubarazamen had anaboa kanaruka ruka km kanakimbia mchak mchaka hapana jaman !afu label za nguo zinaonekana live eish
ndio huyooo...???