Billy Sepenga ni nani?

Billy Sepenga ni nani?

hahaha yaan imefika akianza kuongea kila mtu ananiita !hv huwa unamftilia anavyoongea yaan kazidisha ubarazamen had anaboa kanaruka ruka km kanakimbia mchak mchaka hapana jaman !afu label za nguo zinaonekana live eish

Ukiona unatazama kipindi cha tv huku unakasirika ujue hiko kipindi
sio cha kutazama..
unatazama wrong tv program kwa wewe
 
Mvulana anadunda dunda kama mchele wa plastiki
 
Back
Top Bottom