Bilnas adai nand ndo mke wake mtarajiwa

Bilnas adai nand ndo mke wake mtarajiwa

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu


Yule rapa mkali anayetamba na ngoma ya sina jambo ameweza kukata mzizi wa fitina juu ya uvumi ambao umezagaa kitaa wa kwamba anatoka na msichana msanii mwenzie ajulikanaye kwa jina la nand anayetamba na ngoma ya wasikudanganye


Rapa huyo mkali ambaye hajawah kushuka kunako game aliyasema hayo alipokuwa akipiga mastory na global

Bilnas kadai nandy ndo mwanamke wa pekee kwake ambaye ana vigezo vya kuwa mke wake kwa asilimia sitini


View attachment 594035bilinas

View attachment 594038nand

LONDON BABY
 
Back
Top Bottom