Bima ikiiva piga moto jengo

Bima ikiiva piga moto jengo

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,858
Reaction score
2,059
Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?

Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.

Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA

Mapovu RUKSA....!
 
Unafaa sana nitakupa kazi ya kufanya hyo shughuli katika nyumba yako
 
na sisi ambao nssf inasema tufikishe miaka 55 ndio watulipe tufanyeje? tupe mbinu
Jifanye unaumwa saratani ya korodani mkuu...by the way NSSF wanalipa fao la kujitoa ila baada ya kukaa miezi 6 bila ajira hivyo mkataba wako ukikaribia kuisha jitahidi ku-save hela ya kula angalau miezi 5 ya ajilaless
 
Hakuna Assessor makini anaweza kuingia kwenye mbinu za kizamani kama hizo. ...jaribu kwanza kwenye kibanda chako...
 
Huu ushauri naelewa wapo ambao wameufanyia kazi miaka ya 1990s-2013. Na wakala mijihela ila kwa sasa hivi, ukijaribu tu utaisoma namba ya kimongolia.
 
Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?

Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.

Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA

Mapovu RUKSA....!
Inaonyesha huijui bima. Hakuna kitu kinachoitwa kuiva bima. Na bima huwa hailipi hovyohovyo. Kama ingekuwa hivyo makampuni yote yangefilisika.

Halafu si jukumu lako kumuita mthamini baada ya ajali. Hilo linakuwa jukumu la kampuni ya bima. Na kama hawajaridhika na ripoti ya mwanzo, wataitisha tena re-investigation
 
Watu humu wana mawazo ya kijima aisee [emoji3][emoji3]
 
Tena ndio mchezo ulioshika hatamu sana mjini, hasa kama ni mtoto wa mjini, hakuna kuuza sembe, kutakatisha hela za sembe fiesta wala ubabaishaji kwa kuwanyenga wasanii!
 
Labda nielezee kidogo how unaweza kuwapata bima kiurahisi
Kama unaweza kukodi wahuni kwenda kufanya tukio je inashindikana kukodi wahuni then usiku wanakuvamia wanawacharanga bapa za panga miksa kufungwa kamba then mnawekwa nje nyumba inapigwa moto halafu ionekane wameondoka na million za pesa,
Je kwa tukio hilo hao assessors wanaweza baini vipi ni planned trick?
 
Inaonyesha huijui bima. Hakuna kitu kinachoitwa kuiva bima. Na bima huwa hailipi hovyohovyo. Kama ingekuwa hivyo makampuni yote yangefilisika.

Halafu si jukumu lako kumuita mthamini baada ya ajali. Hilo linakuwa jukumu la kampuni ya bima. Na kama hawajaridhika na ripoti ya mwanzo, wataitisha tena re-investigation
Hakuna waliolipwa bima kwa hila?

Maneno meeengi wakati ukweli unajulikana. Wewe ijue bima wenzio watengeneze "man-made calamity" na wapige pesa!

Unashangaa "Bima Kuiva?" Je ukijiunga bima leo ukapata matatizo leo UTALIPWA? Hakuna incubation period? Mbona wewe ndio hujui bima?
Be realistic!
 
Back
Top Bottom