Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unanijibu mimi nadhani hujaelewa scenario hapa, assume wewe ni mwajiriwa na ni mfanyabiashara then ukichukua pesa za biashara jioni kurudi nyumbani ili kesho upeleke Bank then usiku huo ndo linatokea tukio hilo la wewe kujiibia kwa mgongo wa majambazi ila in reality hawajaiba then baada ya tukio nyumba inapigwa moto huku nyie mmefungwa kamba kwenye mti nje ya nyumba mkishuhudia tukio la nyumba kuunguaWameondoka na mamilioni ya Pesa? Umekata Burglary insurance cover? Au unadhani wanalipa tu ilimradi useme....
Hahahah!Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?
Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.
Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA
Mapovu RUKSA....!
Unachotaka kukifanya labda umshirikishe Dr. Shika, vinginevyo utaingia mkenge wa kufa mtu.Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?
Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.
Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA
Mapovu RUKSA....!
Ongea na watu uvae viatu nahisi msomali akufanya ivyo mkuuHiyo mbinu imemfirisi kabisa yule msomali mmiliki wa Paradise Hotel Bagamoyo. Alichoma makusudi wachunguzi wa bima wakagundua, ameambulia kapa
Hakuna waliolipwa bima kwa hila?
Maneno meeengi wakati ukweli unajulikana. Wewe ijue bima wenzio watengeneze "man-made calamity" na wapige pesa!
Unashangaa "Bima Kuiva?" Je ukijiunga bima leo ukapata matatizo leo UTALIPWA? Hakuna incubation period? Mbona wewe ndio hujui bima?
Be realistic!
Labda nielezee kidogo how unaweza kuwapata bima kiurahisi
Kama unaweza kukodi wahuni kwenda kufanya tukio je inashindikana kukodi wahuni then usiku wanakuvamia wanawacharanga bapa za panga miksa kufungwa kamba then mnawekwa nje nyumba inapigwa moto halafu ionekane wameondoka na million za pesa,
Je kwa tukio hilo hao assessors wanaweza baini vipi ni planned trick?
Ushauri maridhawa Mkuu...afanye hivyo Niko kwenye insurance industry nitamsaidia .....Kama ni rahisi hivyo katengeneze hiyo "man made calamity ulipwe.
Kwa namna ulivyoandika ni kama "unazoa" tu fedha.
Udanganyifu ndiyo upo lakini ni very risk na si kwa kiasi kikubwa na rahisi kama unavyoaminisha Watu.
Nimekumbuka sentensi yako:
"Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA"
Kama una kitu chochocte cha thamani i.e gari au nyumba katia bima, piga moto halafu ongea na Watu wawili Watatu bima upige hela. Kwani wewe huzitaki?
Unamanisha clouds bima imeiva?Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?
Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.
Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA
Mapovu RUKSA....!
Kama unanijibu mimi nadhani hujaelewa scenario hapa, assume wewe ni mwajiriwa na ni mfanyabiashara then ukichukua pesa za biashara jioni kurudi nyumbani ili kesho upeleke Bank then usiku huo ndo linatokea tukio hilo la wewe kujiibia kwa mgongo wa majambazi ila in reality hawajaiba then baada ya tukio nyumba inapigwa moto huku nyie mmefungwa kamba kwenye mti nje ya nyumba mkishuhudia tukio la nyumba kuungua
Je hao assessors wa bima hata wafatilie vipi wanaweza vipi kubaini kuwa ni planned trick ya mtu kulipwa mafao manene?
[emoji23][emoji28][emoji23]simple. waone watu wa vizazi na vifo, wakutengenezee death cirtificate then unaipeleka nssf unawaambia unakufa nwezi ujao so wakulipe mijihela yako uandike urithi
Nimekuelewa mkuu,Kwenye bima Mteja pia anawajibika kuhakikisha anapunguza risk kwa kadri ya uwezo wake na ni moja ya msingi wa bima.
Bima huja kukulinda pale usipoweza "kupafikia".
Kwanza hapa kuna scenario mbili; nyumba kupigwa moto na kuibiwa fedha. Tu-assume una bima ya moto kwa hiyo hutalipwa "wizi" wa fedha uliotokea na kama una bima money on transit or kama hiyo basi hutalipwa kwa sababu hujachukua tahadhari ya kutosha kupunguza risk na pia hakuna bima inayolipa fedha unazotunza tu nyumbani kwako.
Kwanza, asessor atajiuliza je huu ulikuwa ni utaratibu wako kutunza fedha za biashara ndani? kama siyo, kwa nini sasa? kama ndiyo ni uzembe au njama ili ulipwe! kwa sababu unalipwa kilichopotea (hasa fedha) kama kimepita kwenye utaratibu maalum (from business to the bank or other business entity or to your client).
Halafu kama ni bima inayohusu fedha hilo la kuchoma nyumba halina connection kwa hiyo utampa assessor mahali pa kuanzia.
Una lako jambo for sure....unapigwa kisu kisa ulipwe Bima....Nimekuelewa mkuu,
Sasa fanya assumptions kuwa mie ni mfanyabiashara mkubwa ndio nikawapanga vijana wangu so wakavamia kwangu usiku kutaka fedha ambazo mchana nilitoka nazo bank ila nikapeleka kwenye manunuzi mengine so baada ya kukosa pesa tukachezea kichapo cha maana (ili fake ionekane real) nikatandikwa kisu cha mkono na kuzimishwa then nikaburuzwa nje kisha nyumba ikapigwa moto wakati huo sijitambui vijana haooo wakayeya
Iwapo nyumba yangu nailipia bima kila mwaka na nikachoka nataka nilipwe nijenge jumba jipya,
1) je nyie kama assessors kwa scene hiyo mnagundua vipi ni planned?
2) Inachukua muda gani hadi kupatiwa pesa za kunyanyua mjengo mwingine?