Unafaa sana nitakupa kazi ya kufanya hyo shughuli katika nyumba yakoUtapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?
Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.
Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA
Mapovu RUKSA....!
Jifanye unaumwa saratani ya korodani mkuu...by the way NSSF wanalipa fao la kujitoa ila baada ya kukaa miezi 6 bila ajira hivyo mkataba wako ukikaribia kuisha jitahidi ku-save hela ya kula angalau miezi 5 ya ajilalessna sisi ambao nssf inasema tufikishe miaka 55 ndio watulipe tufanyeje? tupe mbinu
simple. waone watu wa vizazi na vifo, wakutengenezee death cirtificate then unaipeleka nssf unawaambia unakufa nwezi ujao so wakulipe mijihela yako uandike urithina sisi ambao nssf inasema tufikishe miaka 55 ndio watulipe tufanyeje? tupe mbinu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]na sisi ambao nssf inasema tufikishe miaka 55 ndio watulipe tufanyeje? tupe mbinu
nenda RITA ukabadilishe cheti cha kuzaliwa ndo utapata mafaona sisi ambao nssf inasema tufikishe miaka 55 ndio watulipe tufanyeje? tupe mbinu
mambo ya mu7 haya sasa, kubadilisha muda wa kuzaliwa ili abaki madarakaninenda RITA ukabadilishe cheti cha kuzaliwa ndo utapata mafao
Inaonyesha huijui bima. Hakuna kitu kinachoitwa kuiva bima. Na bima huwa hailipi hovyohovyo. Kama ingekuwa hivyo makampuni yote yangefilisika.Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa?
Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa uchunguzi wa moto ili waandike ripoti isiyoonyesha uzembe au kusudi bali iwe BAHATI MBAYA.
Baada muda mfupi jiandae kupokea MIJIHELA ya kufa mtu! Hizo ndio mbinu za kulainisha VYUMA VILIVYOKAZA
Mapovu RUKSA....!
Watu humu wana mawazo ya kijima aisee [emoji3][emoji3]Inaonyesha huijui bima. Hakuna kitu kinachoitwa kuiva bima. Na bima huwa hailipi hovyohovyo. Kama ingekuwa hivyo makampuni yote yangefilisika.
Halafu si jukumu lako kumuita mthamini baada ya ajali. Hilo linakuwa jukumu la kampuni ya bima. Na kama hawajaridhika na ripoti ya mwanzo, wataitisha tena re-investigation
Hakuna waliolipwa bima kwa hila?Inaonyesha huijui bima. Hakuna kitu kinachoitwa kuiva bima. Na bima huwa hailipi hovyohovyo. Kama ingekuwa hivyo makampuni yote yangefilisika.
Halafu si jukumu lako kumuita mthamini baada ya ajali. Hilo linakuwa jukumu la kampuni ya bima. Na kama hawajaridhika na ripoti ya mwanzo, wataitisha tena re-investigation