New Insurer
Member
- Apr 25, 2017
- 22
- 30
-
Kwanini bima iko mjini tu, vijijini je? Kwani ili kuwa wakala wa bima unatakiwa kufata masharti gani/kuwa na vigezo gani?
1. Si kweli mkuu, Bima haiko mjini pekee bali hata vijijini ipo. Isipokuwa huko vijijini huwa kuna mawakala wa bima (Insurance Agents), wengi huwa wanafungua uwakala maeneo ya centers. Au wengine huwa wanafanya mobile insurance. Mfano: Siku ya mnada wanaweza kwenda na kuwakatia bima watu ambao wanafika pale mnadani na vyombo vyao vya
moto.
2. Kigezo kikubwa unatakiwa kuwa na Cheti cha awali (Certificate of Proficiency in Insurance - COP) na uwe na walau elimu ya kidato cha nne. Iwapo wewe binafsi huna vigezi hivyo unaweza kumuajiri mtu akawa Principal wako,yaani mwenye vigezi hivyo. Vitu vingine ni kama pesa ya Usajili, Leseni ya biashara, TIN number n.k.
Karibu