Bima na Rodi License Zinakaribia Kwisha

Bima na Rodi License Zinakaribia Kwisha

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,424
Wakuu rodi license na bima ya gari vinaelekea kuisha siku si nyingi zijazo.gari si biashara.

Hivi ni kweli saivi nitatakiwa kukata bima tu? na wala sihitaji tena kuwa na rodi license? mbona naona km ndoto mwenzenu? natembeaje bila rodi license?

Niwekeni sawa kidogo hapa au kuna tozo gani zngine ukiondoa hiz?
 
Back
Top Bottom